Utafiti wa Ramani Kuhusu Uhuru wa Kisanii Tanzania
Mwaka 1980, Nchi Wanachama wa UNESCO, pamoja na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zilitoa pendekezo kuhusu Hadhi ya Msanii, ambalo lilizitaka Nchi zote Wanachama wa UNESCO kuboresha hali ya kitaaluma, kijamii na kiuchumi ya wasanii. Pendekezo la 1980 bado linafaa leo kama lilipopitishwa kwa mara ya kwanza miongo minne iliyopita .
Kwa kuzingatia historia hiyo, Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA), kupitia Mpango wake wa Utamaduni na Utawala na mradi unaofadhiliwa na Ubalozi wa Norway jijini Dar es Salaam unaoitwa -Kukuza Haki za Wasanii Tanzania unalenga kufanya utafiti wa ramani ili : Kutambua hali ya Uhuru wa Kisanii nchini Tanzania
This survey has ended and is no longer accepting responses.